Simbas kuraruana na Milki za Kiarabu kabla ya Kombe la Afrika – Taifa Leo

Written by on May 14, 2025

Kocha wa Kenya Simbas Jerome Paarwater. PICHA / HISANI

KENYA Simbas wamepata mechi ya kupimana nguvu dhidi ya Milki za Kiarabu kabla ya Kombe la Afrika la raga ya wachezaji 15 kila upande mwezi ujao wa Juni.

Vijana wa kocha Jerome Paarwater watakabana koo na Milki za Kiarabu hapo Mei 24 ugani RFUEA mjini Nairobi kabla ya kuelekea Afrika Kusini kwa kambi ya mwezi mmoja.

Simbas walirarua Milki za Kiarabu 55-12 mara ya kwanza na mwisho walikutana mnamo Desemba 16, 2011 mjini Dubai katika shindano la mataifa manne la Cup of . . .



Current track

Title

Artist