Straika Omala arejea kuibeba Gor baada ya Fifa kumpa kibali – Taifa Leo
Written by Black Hot Fire Network on April 11, 2025
Straika wa Gor Mahia Benson Omala akiwa mazoezini. PICHA| HISANI
MSHAMBULIZI wa Harambee Stars Benson Omala sasa anaweza kusakatia tena Gor Mahia baada ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kumaliza mvutano baina yake na klabu ya Al Safa ya nchini Lebanon.
Omala hajakuwa akicheza kwa muda wa miezi minane na alirejea Gor Mahia mwezi Januari, lakini hangeweza kuchezea K’Ogalo kwa sababu uhamisho wake haukuwa umeidhinishwa na Fifa.Al Safa — ambayo alijiunga nao mnamo Agosti 12, 2024 na kutia saini mkataba wa mwaka moja — walikuwa wamesisitiza kuwa bado alikuwa . . .