Tatu za KPL kuaga kipute cha MozzartBet Jumamosi na Jumapili – Taifa Leo

Written by on April 12, 2025

Sehemu ya kidumbwedumbwe katika mechi za Ligi Kuu (KPL) kati ya Sofapaka na Nairobi City Stars. PICHA| HISANI

TIMU tatu za Ligi Kuu (KPL) lazima zitaaga kipute cha Kombe la Mozzartbet huku raundi ya 16 ikichezwa Jumamosi na Jumapili, washindi wakitarajiwa kutinga awamu ya robo-fainali.

Klabu 10 za KPL zilifuzu raundi ya 16 na kutakuwa na mechi tatu ambazo zitakutanisha timu za ligi hiyo. Kipute kikubwa kitakuwa kati ya Shabana na Kakamega Homeboyz kwenye uga wa Jomo Kenyatta, Kaunti ya Kisumu mnamo . . .



Current track

Title

Artist