Ufasaha wa Rais Suluhu kuhutubu unaficha maovu yanayoendelea Tanzania – Taifa Leo
Written by Black Hot Fire Network on June 9, 2025
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akihutubu katika mkutano uliopita. Picha|Maktaba
UKIAMBIA Wajerumani kwamba kiongozi wao wa zamani, kachinja Adolf Hitler, aliwaua Wayahudi kwa mamilioni na kuanzisha Vita Vya Pili Vya Dunia wanaruka juu na kudai alikuwa mzaliwa wa Austria.
Ukiwaambia Watanzania kwamba Rais Samia Suluhu Hassan ameharibu sifa za taifa lao kwa utekaji, mauaji, ubakaji na ulawiti wa wanaharakati, watakwambia ni Mzanzibari!
Huko ndiko kunakoitwa kukimbia majukumu, yaani watu hawataki kuwajibikia maovu yao, hasa kwa kuwa ni fedheha kunasibishwa na mtu asiye na utu.
Hilo haliwezekani. Historia . . .