Ugomvi wa Gor na AFC Mashemeji Derby ikija – Taifa Leo
Written by Black Hot Fire Network on March 27, 2025
Geoffrey Ochieng (kulia) wa Gor Mahia apambana na Jafari Owiti wa AFC Leopards katika mechi ya Ligi Kuu ya Kenya (FKF-PL) uwanjani Nyayo, Nairobi awali. Timu hizi zinakutana tena Jumapili, Machi 30, 2025. PICHA|MAKTABA
AFC Leopards na Gor Mahia zinaendelea kuimarisha maandalizi yao kwa Debi ya Mashemeji huku taharuki ikianza kuchipuka kuhusiana na kipute hicho cha Jumapili, Machi 30, 2025.
Mchuano huo mkubwa zaidi wa Ligi Kuu ya Kenya (KPL) unatarajiwa kusakatwa katika uga wa Nyayo ambao una uwezo wa kuwasitiri mashabiki 22,000.
Siasa na shinikizo . . .