Ukishirikiana na polisi kutenda uovu ujue ipo siku watakukujia – Taifa Leo

Written by on June 18, 2025

Genge lililobeba marungu laonekana likitembea sako kwa bako na polisi kukabili waandamanaji waliokuwa wanalaani ukatili wa polisi Nairobi, Juni 17, 2025. Picha|Evans Habil

VIJANA ambao hivi majuzi wameungana na polisi jijini Nairobi kukabiliana na waandamanaji waliojitokeza kupinga kuuawa kwa mwanabloga Albert Ojwang’ wanapaswa kuwa waangalifu sana.

Wapo watu wanaodhani wana jukumu la kuitetea serikali dhidi ya lawama za raia wenzao, na hilo ni jambo zuri likisalia katika majibizano ya mitandao ya kijamii tu, lakini mambo yanakwenda tenge pale majibizano yanapogeuka makabiliano ya kivita.

Unawapigia nini watu walio na cha kuandamania . . .



Current track

Title

Artist