Upinzani unavyoweza kuepuka kuvurugwa na Ruto kabla ya uchaguzi wa 2027 – Taifa Leo

Written by on May 13, 2025

Viongozi wa kisiasa akiwemo (kuanzia kulia): Mukhisa Kituyi, Fred Matiang'i, Kalonzo Musyoka, Martha Karua, Rigathi Gachagua, Eugene Wamalwa, Torome Saitoti, Justin Muturi na Mithika Linturi wapiga picha baada ya kukutana katika kile kinaaminika kuwa kusuka muungano. Picha|Hisani

KATIKA siasa za Kenya, kugawanyika kwa upinzani si jambo geni, hasa ikizingatiwa uwezo wa rais aliye madarakani kutumia mbinu mbalimbali kupunguza ushindani uchaguzini.

Rais William Ruto, ambaye ameonyesha ustadi mkubwa wa kisiasa, anaendelea kujijenga kuvuruga umoja wa upinzani kuelekea uchaguzi wa 2027 kwa kupanda fuko wake ndani ya upinzani.



Current track

Title

Artist