Vita vya kijinsia viachiwe wajinga – Taifa Leo

Written by on March 21, 2025

Aliyekuwa Gavana wa Meru, Kawira Mwangaza. PICHA|MAKTABA

HIVI umegundua kuwa watu wanaolialia eti Kawira Mwangaza ametupwa gizani si Wameru?

Inaonekana Wameru karibu wote wameridhika na wanafurahia kuondolewa mamlakani kwa gavana wao wa kike.

Niambie, Meru kumekolea taasubi ya kiume, au Kawira si mfano bora wa mwanamke bomba kwa viwango vya Kimeru?

Nenda katafute sababu nyinginezo, ila mwenzako nimejua tatizo ni taasubi ya kiume, yaani madume yamekataa kutawaliwa na mwanamke.

Na nina ushahidi: Hafla ya kuapishwa kwa gavana mpya, Mutuma M’Ethingia, ambaye ni mwanamume kwa taarifa . . .



Current track

Title

Artist