Wafugaji Narok wateta uhamaji wa nyumbu husambazia ng’ombe ugonjwa hatari – Taifa Leo

Written by on September 25, 2024

Nyumbu wakivuka Mto Mara. PICHA | HISANI

UHAMAJI wa nyumbu (wildbeast) ni tukio la ajabu ambalo huvutia watalii kutoka maeneo mengi duniani kuzuru Mbuga ya Wanyama ya Maasai Mara ili kuushuhudia ana kwa ana.

Hujiri kila mwaka ambapo mamilioni ya nyumbu huhamia Kenya kwa kuvuka Mto Mara kutoka Mbuga ya Wanyama ya Serengeti – Tanzania.

Msimu huu huanza mwezi Julai na kukamilika mwisho wa mwaka nyumbu wakirejea walikotoka.

Ni furaha kwa mamilioni ya watalii wanaovutiwa na tukio hili. Pia, ni furaha kwa mataifa haya yanayovuna mabilioni ya pesa. Lakini wafugaji na . . .



Current track

Title

Artist