Afrika yabeba zigo zito la kisukari duniani – Taifa Leo

Written by on May 2, 2024

Afrika yabeba zigo zito la kisukari duniani

NA PAULINE ONGAJI

MTU mmoja kati ya watu 22 barani Afrika anaugua maradhi ya kisukari, na hii inawakilisha takriban watu milioni 24, mzigo mkubwa zaidi duniani.

Hii ndio ilikuwa mada ya majadiliano katika kongamano la kwanza kuhusu Mkakati wa PEN-Plus kuangazia maradhi yasiyoambukiza barani (ICPPA), jijini Dar es Salaam, Tanzania.

Kulingana na ripoti za utafiti, Afrika ya kati na sehemu za Kusini mwa Afrika ndizo zilizoathirika pakubwa zaidi.

Nchini Kenya, kulingana na Shirika la Afya Duniani (WHO), maradhi ya . . .



Current track

Title

Artist