Politics

Hatujamaliza hata miaka miwili, afoka Gachagua akikemea siasa za urithi VITALIS KIMUTAI NA LABAAN SHABAAN NAIBU Rais Rigathi Gachagua anataka wanasiasa wa chama tawala cha United Democratic Alliance (UDA) kusitisha siasa za urithi zinazoendelea. Siasa hizi zinatokota na kutisha kuvuruga shughuli za serikali hata kabla ya kukamilika kwa miaka miwili tangu serikali ichukue hatamu za uongozi […]

Haki ya uwakilishi ndio haki ya mgao wa rasilimali – Peter Kenneth NA MWANGI MUIRURI ALIYEKUWA mwaniaji wa urais mwaka wa 2013 Bw Peter Kenneth, sasa amewataka viongozi kukumbatia mjadala wa kuongeza idadi ya maeneobunge kwa lengo la kusawazisha idadi ya wapigakura kwa kila mojawapo, hii pia ikileta usawa kwa idadi jumla ya watu. Bw […]

‘Betty e sawa’ adai baadhi ya viongozi Mlima Kenya ni kama fisi NA MWANGI MUIRURI MBUNGE Mwakilishi wa Kike wa Kaunti ya Murang’a Betty Maina amedai kwamba kumezuka ‘team mafisi’ wa ulafi kisiasa eneo la Mlima Kenya. Alisema kwamba “tuko hali mbaya na wanasiasa hao ambao licha ya kuwa na minofu ya mamlaka mdomoni, hata […]

Gachagua ashikilia msimamo wa kuunganisha jamii za Mlima Kenya NA MWANGI MUIRURI NAIBU Rais Rigathi Gachagua amesisitiza kwamba hakuna yeyote aliye na uwezo wa kumwagiza akome harakati za kuunganisha watu wa jamii za Mlima Kenya. Mnamo Juni 2, 2024, akiwa katika uwanja wa Amutala ulioko Kaunti ya Bungoma, Rais William Ruto alisisitizia viongozi haja ya […]

Niko na Ruto, anayetaka kunisuta aje Mlimani – Gachagua NA MWANGI MUIRURI NAIBU Rais Rigathi Gachagua sasa anawataka wanasiasa wote wa Mlima Kenya walio na dhana kwamba wako na ubabe wa kisiasa kumliko katika eneo hilo, wafanye hima kuthubutu kuandaa mkutano wa ajenda hiyo katika mipaka ya eneo hilo. Bw Gachagua alisema ni kupitia njia […]

‘Kulala njaa Mlima Kenya ni kujitakia’ NA MWANGI MUIRURI SIASA za mipasuko ambazo zimenoga kwa sasa katika ukanda wa Mlima Kenya, zimegeuka kuwa mifereji ya pesa kwa wenyeji ambapo baadhi wanaomba zidumu. Mirengo ya kukodisha huduma ambayo imezuka imekuwa afueni kuu kwa baadhi ya wenyeji ambao wanajua ‘kukulia siasa’. Kwa sasa, mirengo ambayo imezuka ni […]

Hofu ya Rais Ruto kuhusu uchaguzi wa UDA Nairobi NA MWANGI MUIRURI RAIS William Ruto sasa ameamrisha kuahirishwa kwa uchaguzi wa mwenyekiti wa chama chake cha United Democratic Alliance (UDA) katika Kaunti ya Nairobi, ikiaminika kwamba hatua hiyo inalenga kuzima mpasuko ambao unanukia katika vita vya ubabe kati ya mrengo wake na ule wa Naibu […]

Serikali yaweka mikakati ya kumzolea Raila kiti cha AUC NA JUSTUS OCHIENG SERIKALI ya Kenya Kwanza imeweka mikakati ya kuhakikisha kiongozi wa Azimio La Umoja-One Kenya Raila Odinga anapata kura za kumwezesha kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC). Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi ambaye pia ni Waziri wa Masuala ya Kigeni, alisema […]

Godoro la UDA laendelea kuumiza walaliaji NA MWANGI MUIRURI MBUNGE wa Embakasi Kaskazini Bw James Gakuya, ambaye ni mfuasi sugu wa Naibu Rais Rigathi Gachagua, amesema kwamba chama cha Rais William Ruto cha United Democratic Alliance (UDA) kiko katika kitanda chake cha mauti kikiwa hali mahututi na huenda hivi karibuni washirika wacho kutoka Mlima Kenya […]

Mbunge amtaka Gachagua kujiuzulu NA JESSE CHENGE MAMBO yanaendelea kuchemka katika ulingo wa kisiasa huku Mbunge wa Webuye Mashariki Bw Martin Wanyonyi akimtaka Naibu Rais Rigathi Gachagua kufanya uamuzi wa ama kumuunga mkono kikamilifu Rais William Ruto au kujiuzulu wadhifa wake. Bw Wanyonyi alidai Bw Gachagua hujisawiri kama kiongozi mwenye nia tu ya kuongoza eneo […]


Current track

Title

Artist