Health/Eco News

Chembechembe za ugonjwa wa saratani. PICHA| HISANI IDADI ya watu wanaougua saratani ya uume inaendelea kupanda kote ulimwenguni kutokana na utafiti na uchunguzi uliofanywa na wataalamu. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Sun Yat-Sen nchini China, wanaume ambao wanaugua kansa ya uume wanatarajiwa kupanda kwa asilimia 77 kwa muda wa […]

Maradhi ya ngozi katika unyayo wa mguu. PICHA | MAKTABA NA ANTHONY KITIMO UHABA wa maji katika Kaunti ya Kilifi unaendelea kusababisha maradhi ya ngozi kwa wakazi kama ilivyodhihirishwa katika kambi ya matibabu eneo la Ganze. Mamia ya wakazi wa Ganze walitambuliwa kuathirika na maradhi ya ngozi kutokana na ukosefu wa maji safi katika kambi […]

Mwanamitandao Francis Gaitho ambaye ‘alifananishwa’ na mwanahabari Macharia Gaitho na maafisa wa DCI. Picha|Richard Munguti MWANAMITANDAO aliyekuwa akisakwa na polisi waliomtia nguvuni kimakosa mwanahabari wa miaka mingi na mchangiaji makala katika Daily Nation, Macharia Gaitho, ameshtakiwa. Francis Ng’ang’a Gaitho alishtakiwa mbele ya hakimu mwandamizi Robinson Ondieki kwa kuchapisha habari za uwongo na za kupotosha kuhusu […]

Madiwani wa Wiper wakiongozwa na Kiongozi wa Wengi katika Bunge la Kitui aliye pia Mwakilishi wa Wadi ya Kyuso, Bw Munyoki Mwinzi (katikati) walipomtaka Kalonzo aondoke Azimio. Picha|Wachira Mwangi KUNDI la Wawakilishi wa Bunge la Kaunti (MCAs) ya Kitui na Wanachama wa Wiper wamemtaka kiongozi wao, Kalonzo Musyoka, kujiondoa kwenye Muungano wa Azimio iwapo kiongozi […]

Gavana wa Kilifi Bw Gideon Mung’aro. Picha| Hisani ZIARA ya magavana sita wa Pwani nchini Italia imewavunia wawekezaji wa kimataifa ambao watakita kambi nchini Kenya mwezi ujao. Gavana wa Kilifi Bw Gideon Mung’aro, alisema ziara yao rasmi iliyoanza wiki iliyopita, tayari imesaidia kupiga jeki sekta ya uchumi wa baharini baada ya kukutana na wawekezaji na […]

Ajesh Shireta akiwa katika mahakama ya Milimani Nairobi aliposhtakiwa kumpiga na kumjeruhi dereva wa Uber Eliakim Ombati. Picha|Richard Munguti MFANYABIASHARA alishtua na kushangaza mahakama ya Milimani Jumatano alipovua jaketi kuonyesha jinsi shati yake ilivyoraruliwa na dereva wa Uber alipodai amlipe Sh7,000 badala ya Sh900. Ajeshi Shireta mwenye umri wa miaka 52 alihoji uadilifu wa polisi […]

Share this Facebook X . . .

Kiongozi wa ODM Raila Odinga. PICHA| HISANI. KIONGOZI wa ODM Raila Odinga ameomba radhi kwa wanahabari na viongozi waliofukuzwa Jumatano na vijana katika hafla ya muungano huo jijini Nairobi. Kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka alikuwa miongoni mwa viongozi waliofukuzwa na vijana waliozua ghasia walipokuwa wakisoma maazimio ya muungano huo baada ya mkutano wa Kundi la […]

Hakimu Mkuu wa mahakama ya Mbita Nicodemus Moseti awaambia Jocinta Anyango na Denish Okinyi kuafikiana kuhusu mahali ambako mtoto wao atazikwa. Picha|George Odiwour FAMILIA ya mvulana mwenye umri wa miaka 12 aliyepigwa risasi na kuuawa wakati wa maandamano ya kupinga serikali, imeagizwa na mahakama kutafuta mbinu mbadala za kutatua mgogoro baina yao. Hakimu Mkuu wa […]

Gavana wa Meru Kawira Mwangaza ambaye madiwani wanapanga upya kumtimua. Picha|Dennis Onsongo GAVANA wa Meru, Kawira Mwangaza, huenda akaondolewa mamlakani katika jaribio la mara ya nne, madiwani mara hii wakimlaumu kwa makosa mawili ya matumizi mabaya ya ofisi na matumizi mabaya ya fedha za umma. Hoja ya kumtimua, ambayo inakuja wiki tatu kabla ya maadhimisho […]


Current track

Title

Artist