Opinion

Mfanyabiashara akihesabu pesa. Picha|Maktaba INASIKITISHA kuwa afisa wa hadhi ya Katibu katika Wizara ya Fedha Chris Kiptoo bado hajang’amua hisia za Wakenya kuhusu jinsi serikali inavyotumia pesa wanazolipa kama ushuru. Akijibu maswali kuhusu Bajeti na Mswada wa Fedha wa 2025, Jumanne asubuhi katika kipindi cha “Fixing The Nation” kwenye runing ya NTV, Dkt Kiptoo alionekana […]

Viongozi wa kisiasa akiwemo (kuanzia kulia): Mukhisa Kituyi, Fred Matiang’i, Kalonzo Musyoka, Martha Karua, Rigathi Gachagua, Eugene Wamalwa, Torome Saitoti, Justin Muturi na Mithika Linturi wapiga picha baada ya kukutana katika kile kinaaminika kuwa kusuka muungano. Picha|Hisani KATIKA siasa za Kenya, kugawanyika kwa upinzani si jambo geni, hasa ikizingatiwa uwezo wa rais aliye madarakani kutumia […]

Now is the time for Namibia’s leadership to show it respects the billions of dollars companies spend on oil and gas production. One of the most practical ways for Namibia to do that is to update its petroleum contracts: They need language that protects oil and gas companies’ investments. Namibia’s contracts should include what’s known […]

Rais William Ruto akizungumza wakati wa uzinduzi wa kituo cha kawi cha 35 MV Orpower-Twenty Two eneo la Menengai, Nakuru, Alhamisi. Picha|Boniface Mwangi HUWA nashangaa, mbona Wakenya wameonyesha ishara za mapema za kuchoshwa na viongozi wao kiasi cha kuwachukia? Kenya ni taifa la kushangaza ambalo raia wanaongozwa na viongozi waliowachukia na kukosa imani nao. Wananchi […]

Vijana waandamana kupinga Mswada wa Fedha 2024. Picha|Maktaba HIVI maafa yakitokea nchini Kenya, ni sawa kwetu Wakenya kujiliwaza kwa kusema kuwa haidhuru kwa maana maafa yanatokea katika mataifa mengine pia? Ni sawa kukubali kwamba kufa kwa wengi harusi, yaani tujiweke katika mazingira ya kufa kwa kuwa wengine wanakufa? Huo ni mtizamo wa aina gani katika […]

Rais William Ruto aliporushiwa kiatu Migori Jumapili. Picha|Hisani USALAMA wa kiongozi wa nchi ni suala linalohitaji kupewa uzito wa hali ya juu, hasa baada ya tukio ambapo Rais William Ruto alirushiwa kiatu na raia katika mkutano wa hadhara uliofanyika Migori. Tukio hili, pamoja na dalili za kuongezeka kwa hasira miongoni mwa wananchi kutokana na hali […]

Mchezo wa kamari. Picha|Hisani HATUA ya serikali kuzima matangazo ya kamari nchini Kenya ni ya busara ikiwa inalenga kukabiliana na uraibu wa kamari unaoenea kwa kasi, hasa miongoni mwa vijana. Uraibu huu umesababisha madhara makubwa kwa kijamii, kiuchumi na kiafya, na sehemu kubwa ya matatizo haya yamechochewa na mvuto wa matangazo ya kamari katika vyombo […]

Wanahabari mjini Nakuru wafanya maandamano kulaani kupigwa risasi kwa mwenzao wa runinga ya K24, Catherine Wanjeri. Picha|Maktaba KATIKA siku za hivi karibuni, wanahabari wa michezo nchini wamevamiwa na maafisa wa polisi, jambo ambalo linafaa kuingiliwa kati kabla hali haijakuwa mbaya zaidi. Kisa cha hivi karibuni kilitokea Jumapili iliyopita (Aprili 27, 2025), katika uwanja wa Dandora jijini […]

Rais wa Amerika Donald Trump. Picha|Reuters SIKU hizi mambo yakimwendea vibaya Mwafrika anakimbia kumlaumu Rais Donald Trump wa Amerika, hata kuhusiana na mambo ambayo kamwe hana mwao nayo. Hata kina ‘pangu pakavu tia mchuzi’ mitaani wanateta kwamba dawa za kukabiliana na makali ya Ukimwi zimekosekana kwa kuwa kiongozi huyo wa chama cha Republican amezuia misaada, […]

It’s no secret – Kenya’s youth are full of energy, ambition, and ideas. But for far too many of them, those ideas are stifled by one harsh reality: unemployment. Walk through any town, from Kisumu to Kitui, and you’ll meet bright, capable but idle young people with diplomas and degrees. Many remain jobless – or […]


Current track

Title

Artist