Ari ya Manchester United kucheza Europa yatumbukia nyongo – Taifa Leo

Written by on April 27, 2024

Ari ya Manchester United kucheza Europa yatumbukia nyongo

Na MWANGI MUIRURI 

HUENDA Manchester United ikose kumaliza ndani ya saba-bora katika Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) baada ya kukabwa sare ya 1-1 na timu ya Burnley.

Sare hiyo iliwakumba katika mechi ambayo ilichezewa katika uga wa Man U wa Old Trafford mnamo Aprili 27, 2024.

Kipenga cha mwisho kutoka kinywa cha refa John Brooks kiliishia katika hali ya machungu kwa mashabiki wa Man U waliposhuhudia uhalisia wa sare hiyo.

Man U ilikuwa imejipa matumaini ya kuibuka . . .



Current track

Title

Artist