Arsenal yaandaa risasi za kuvizia Wolves kutafuta alama tatu EPL – Taifa Leo

Written by on April 20, 2024

Yaliyopita si ndwele: Arsenal yaandaa risasi za kuvizia Wolves kutafuta alama tatu EPL

LONDON, UINGEREZA

RISASI za Arsenal zipo ama zimeisha? Swali hilo litapata jibu leo wakati wanabunduki hao watarejelea majukumu ya Ligi Kuu dhidi ya wenyeji Wolves ugani Molineux.

Ni mechi yenye umuhimu mkubwa kwa nambari mbili Arsenal ambao wana fursa ya kuruka juu ya jedwali ikiwa watapita mtihani mkali kutoka kwa mbwa mwitu hao wanaokamata nafasi ya 11.

Vijana wa kocha Mikel Arteta . . .



Current track

Title

Artist