Askofu Yohana aitakia Arsenal ushindi dhidi ya Brentford – Taifa Leo

Written by on March 8, 2024

Askofu Yohana aitakia Arsenal ushindi dhidi ya Brentford

MWANGI MUIRURI Na MASHIRIKA

ASKOFU Danson Gichuhi almaarufu Yohana ambaye amegonga vichwa vya vyombo vya habari kwa kukemea mapepo kutoka kwa waumini wake wa kike kwa njia tata, anaitakia klabu yake ushindi.

Yohana ni shabiki sugu wa klabu ya Arsenal inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza (EPL).

“Ninaitakia klabu ya Arsenal itakapovaana na Brentford,” akasema alipohojiwa na Taifa Spoti mnamo Ijumaa akiwa mjini Murang’a.

Kanisa la Yohana linafahamika kama Christian Committed Gospel Church na lina . . .



Current track

Title

Artist