Askofu Yohana amtaja Kai Havertz kuwa ni mwokozi pale Arsenal – Taifa Leo

Written by on April 27, 2024

Askofu Yohana amtaja Kai Havertz kuwa ni mwokozi pale Arsenal

Na MWANGI MUIRURI

WAKATI mchezaji Kai Havertz alinunuliwa kutoka Chelsea mwaka 2023 kuwajibikia timu ya Arsenal katika Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kwa kima cha Dola Milioni 65, mashabiki wengi wa timu hiyo yake mpya hawakuridhika.

Kwa mitandao, walikesha kumdhalilisha wakimkejeli jinsi alivyokuwa mzembe, mbutu na wa kuhujumu ari ya Arsenal kutwaa ligi.

Kocha Mikel Arteta hakuwasikiliza mashabiki na kwa kila mechi, jina lake lilikuwa linawekwa miongoni mwa 11 wa kuanza, mashabiki wakibakia kulia na kukashifu.

Lakini . . .



Current track

Title

Artist