Beatrice Chebet aweka rekodi mpya ya dunia mbio za mita 10,000 – Taifa Leo

Written by on May 25, 2024

Beatrice Chebet aweka rekodi mpya ya dunia mbio za mita 10,000

Na GEOFFREY ANENE

MKENYA Beatrice Chebet ameweka rekodi ya dunia mbio za mita 10,000 baada ya kushinda Eugene Diamond League nchini Amerika kwa dakika 28:54.14, Jumamosi.

Alifuta rekodi ya raia wa Ethiopia Letesenbet Gidey aliyetimka umbali huo kwa dakika 29:01.03 mjini Hengelo, Uholanzi mnamo Juni 8, 2021.

Chebet, ambaye ni bingwa wa mbio za nyika duniani, ameimarisha muda wake bora kutoka dakika 33:29 aliotimka Machi 2020 ugani Kasarani jijini Nairobi hadi . . .



Current track

Title

Artist