Biden akataa kujitoa mbio za urais Amerika licha ya hofu ya kulemewa na uzee – Taifa Leo

Written by on July 4, 2024

Rais Joe Biden wa Amerika na makamu wake, Kamala Harris. Picha|Reuters

WASHINGTON DC, Amerika

RAIS wa Amerika Joe Biden ameapa kuendelea kupambana katika kinyang’anyiro cha uchaguzi wa urais ili kuwatuliza wafuasi wa chama chake cha Democratic na washirika wakuu. Hii ni baada ya kukubali kulemewa kwenye mjadala kati yake na Donald Trump wiki iliyopita.

Wakati wa mahojiano na kituo cha radio nchini humo, alikiri kufanya kosa akiwataka wapigakura kukosa kumhukumu wakati yupo katika Ikulu ya White . . .



Current track

Title

Artist