Bora tu tumalize EPL juu ya Man U tuko sawa – Taifa Leo

Written by on May 7, 2024

Mashabiki wa Arsenal: Bora tu tumalize EPL juu ya Man U tuko sawa

Na MWANGI MUIRURI

MASHABIKI wa timu ya Arsenal sasa wanadai kwamba bora tu wamemaliza wakiwa juu ya Manchester United katika jedwali la Ligi Kuu ya Uingereza (EPL), taji linaweza kaa kando.

Hata Arsenal sasa ikose kushinda mechi zake mbili iliyosalia nazo nayo Man U ishinde zake zote tatu ilizo nazo, haiwezi ikaibuka bora kuliko ‘The Gunners’.

Ni katika hali hiyo ambapo mashabiki wa Arsenal wanawapa Man U almaarufu The Red Devils pole za msiba wa machozi . . .



Current track

Title

Artist