Chai ya mwisho aliyoitiwa Pochettino kabla ya kufungishwa virago – Taifa Leo

Written by on May 22, 2024

Chai ya mwisho aliyoitiwa Pochettino kabla ya kufungishwa virago

NA MASHIRIKA

KOCHA Mauricio Pochettino alikunywa chai na bwanyenye wa Chelsea, Todd Boely siku chache kabla ya kuamua kuagana na klabu hiyo baada ya kuwa usukani kwa miezi 11.

Raia huyo wa Argentina ameondoka kwa hiari baada ya kuifikisha timu hiyo katika fainali ya Carabao na nusu-fainali ya FA Cup, lakini anadai kuna watu fulani wenye uwezo mkubwa katika klabu hiyo walitaka aondoke.

“Ni kawaida . . .



Current track

Title

Artist