Chunga sana Raila, Ruto ashauriwa – Taifa Leo

Written by on March 3, 2024

Chunga sana Raila, Ruto ashauriwa

NA JAMES MURIMI

VIONGOZI wa Mlima Kenya wamemtaka Rais William Ruto ajihadhari hata anaposhirikiana na Bw Raila Odinga kisiasa, wakisema huenda kinara huyo wa upinzani anaweza akatumia uenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC) kusambaratisha utawala wa Kenya Kwanza.

Wakati huo huo, viongozi hao walisema “watasimama nyuma ya Naibu Rais Rigathi Gachagua” hata kama ushirikiano kati ya Rais na Raila utamtenga.

Bw Odinga ametangaza azma yake ya kuwania kiti cha AUC hapo Januari . . .



Current track

Title

Artist