Dereva Jim Heather-Hayes atawazwa mwanamichezo bora mbio za magari baada ya kufariki   – Taifa Leo

Written by on January 28, 2024

Dereva Jim Heather-Hayes atawazwa mwanamichezo bora mbio za magari baada ya kufariki  

NA GEOFFREY ANENE

MWENDAZAKE Jim Heather-Hayes ametawazwa mwanamichezo bora wa mwaka 2023 wa Shirikisho la Mbio za Magari nchini Kenya (KMSF).

Heather-Hayes alikuwa dereva maarufu katika mbio za magari enzi zake.

Alifariki mwaka 2022 na alikuwa mmoja wa madereva waliovuma katika mashindano ya magari na ametambuliwa kwa mchango wake wa muda mrefu katika mchezo huo.

Heather-Hayes alichangia pakubwa katika kulea mabingwa wa siku zijazo.

Matokeo yake mazuri kabisa katika . . .



Current track

Title

Artist