EACC iwe tayari kupambana na wezi wa pesa za mafuriko – Taifa Leo

Written by on May 9, 2024

MAONI: EACC iwe tayari kupambana na wezi wa pesa za mafuriko

Na LEONARD ONYANGO

BAADA ya dhiki ni faraja. Msemo huu unalenga kutia moyo watu wanaopitia dhiki –kama vile waathiriwa wa mafuriko ambao wamepoteza mali na hata kulazimika kuhama makazi yao –kwamba katika siku za usoni watarejelea hali yao ya kawaida.

Lakini nchini Kenya, msemo huo una maana nyingine kuwa dhiki huleta faraja kwa mafisadi katika serikali za kaunti na kitaifa.

Mabilionea . . .



Current track

Title

Artist