Hivi huyu Raila ana nyota kweli, au kidagaa kitamuozea pia huko AUC? – Taifa Leo

Written by on April 13, 2024

Hivi huyu Raila ana nyota kweli, au kidagaa kitamuozea pia huko AUC?

NA DOUGLAS MUTUA

USIINGIE baridi unapoona mataifa mengine yakijitokeza kumpinga Bw Raila Odinga, anayewania uenyekiti wa Tume ya Muungano wa Afrika (AUC). Hilo lilitabirika tangu mwanzo.

Maoni yangu ya kwanza Bw Odinga alipotangaza kuwa angewania wadhifa huo yalikuwa kwamba tusisherehekee mapema.

Nilikuwa mumu humu tulipojiandaa kwa hamu na ghamu kushuhudia Kenya ikitawazwa mshindi katika kinyang’anyiro sawa na hicho, ila tukaambulia patupu mnamo . . .



Current track

Title

Artist