Je, kikao cha 3 cha Limuru kitauunganisha Mlima Kenya? – Taifa Leo

Written by on March 6, 2024

Je, kikao cha 3 cha Limuru kitauunganisha Mlima Kenya?

NA WANDERI KAMAU

JE, eneo la Mlima Kenya hatimaye litapata sauti moja ya kisiasa?

Hilo ndilo swali ambalo limeibuka, baada ya kubainika kwamba viongozi tofauti wa ukanda huo wanapanga kuandaa Kikao cha Tatu cha Limuru ili kujadili mwelekeo wa kisiasa wa ukanda huo.

Taifa Leo imebaini kuwa juhudi hizo zinaendeshwa na kiongozi wa Narc-Kenya Martha Karua, viongozi wa Chama . . .



Current track

Title

Artist