Joto kuhusu mgombea wa urais wa Azimio lashamiri mazishini – Taifa Leo

Written by on February 10, 2024

Joto kuhusu mgombea wa urais wa Azimio lashamiri mazishini

KITAVI MUTUA Na CHARLES WASONGA

MJADALA kuhusu nani anafaa kupeperusha bendera ya Azimio La Umoja-One Kenya katika uchaguzi mkuu ujao wa urais ulishamiri Jumamosi katika mazishi ya shemejiye kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka, Kaunti ya Kitui.

Kinara muungano huo Raila Odinga aliamua kueleza mikakati ya kisiasa ya kukubaliana kuhusu mgombeaji mmoja wa urais atakayepambana na Rais William Ruto mwaka 2027.

Alikabiliana na suala hilo ambalo limegeuka kiazi moto katika Azimio kwa kuhakikishia jamii ya Wakamba . . .



Current track

Title

Artist