Kalonzo aimarisha mikakati ya kutoshea kwa viatu vya Raila – Taifa Leo

Written by on March 1, 2024

Kalonzo aimarisha mikakati ya kutoshea kwa viatu vya Raila

CHARLES WASONGA Na MOSES NYAMORI

JUHUDI za kufufua mrengo wa One Kenya Alliance (OKA) zimeanza kujitokeza kufuatia mkutano ulioitishwa na Mwenyekiti wa chama cha Kanu Gideon Moi mnamo Jumatano, hatua inayoweza kuwa pigo kwa muungano wa Azimio la Umoja-One Kenya.

OKA ni sehemu ya Azimio chini ya kinara wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM) Raila Odinga ambaye ametangaza azma ya kugombea uenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC).

Hii . . .



Current track

Title

Artist