Kinachosababisha chunusi sehemu inayozingira uke – Taifa Leo

Written by on January 22, 2024

Kinachosababisha chunusi sehemu inayozingira uke

NA PAULINE ONGAJI

Wakati mmoja maishani, huenda kila mwanamke akakumbwa na tatizo la chunusi katika sehemu inayozingira uke.

Ni suala linalowapa wengi wasiwasi, kiwango cha kuwakosesha starehe.

Kiini

Kuna mambo kadha wa kadha ambayo yaweza sababisha hali hii.

Kwa mfano, chunusi katika sehemu hii yaweza kuwa tokana na maambukizi ya ukuvu, bakteria au virusi.

Pia . . .



Current track

Title

Artist