Liverpool wakabwa na West Ham United – Taifa Leo

Written by on April 27, 2024

Liverpool wakabwa na West Ham United

NA MASHIRIKA

KLABU ya Liverpool imekabwa na West Ham United kwa sare ya 2-2 ugani London Stadium mnamo Jumamosi.

Liverpool wamepata mabao kupitia kwa Andrew Robertson kunako dakika ya 48 na Alfonse Areola aliyejifunga katika dakika ya 65.

Wenyeji West Ham almaarufu The Hammers, walikuwa wa kwanza kufunga bao katika dakika ya 43 baada ya Jarrod Bowen kucheka na nyavu. Michail Antonio alifunga bao la pili la wenyeji katika dakika ya 77.

Sare hii inadidimiza matumaini ya Liverpool almaarufu The . . .



Current track

Title

Artist