Maadili yako wapi, tunafunza nini kizazi kijacho? – Taifa Leo

Written by on January 14, 2024

MAWAIDHA YA KIISLAMU: Maadili yako wapi, tunafunza nini kizazi kijacho?

Na ALI HASSAN

KWA jina la Mwenyezi Mungu mwenye kuneemesha neema kubwa kubwa na neema ndogo ndogo. Tumejaaliwa leo hii kukutana katika jukwaa hili la kukumbushana na kuelimishana kuihusu dini yetu tukufu ya Kiislamu.

Ama kabla ya kujitosa kwenye mada ya leo, sharuti tumpwekeshe, kumwabudu, kumcha na kumshukuru mwisho wa shukrani Mola wetu. Ni yeye pekee, Allah (SWT) Anayestahili kuabudiwa. Ni yeye pekee, Mwenye-Enzi, ndiye Muumba wa ardhi . . .



Current track

Title

Artist