‘Maplayer’ ni watamu lakini watakuacha kwa mataa – Taifa Leo

Written by on July 1, 2024

‘Maplayer’ ni watamu lakini watakuacha kwa mataa

VIPUSA huwa wanapenda kupuuza ushauri wakisema wanajua wanachofanya hasa wakionywa wasichumbie wanaume wasiomakinikia mapenzi.

Wale wanaume wanaofahamika kama ‘maplayer’ ambao kazi yao ni kuchangamkia vipusa, kuwaonja na kuondoka wakiwaacha wakisononeka. Anakupamba kwa sifa na maneno hadi unasahau kuna watu wengine duniani wanaokuwazia mazuri kisha baada ya mambo kukuendea yombo unakumbuka onyo ulilopuuza.

Unaweza kusikia kipusa akitetea uhusiano wake na mtu anayeonywa na wanaomjua vyema au walio na tajiriba ya mapenzi kwa kusema ‘najua ninachofanya, ameahidi kunioa’  kisha baada ya muda . . .



Current track

Title

Artist