Matabibu ni muhimu ila wasichangie udunishaji wa wataalamu wengine – Taifa Leo
Written by Black Hot Fire Network on May 10, 2024
MAONI: Matabibu ni muhimu ila wasichangie udunishaji wa wataalamu wengine
MGOMO wa madaktari ambao umedumu kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa umeibua hisia mseto miongoni mwa Wakenya huku mamia ya wagonjwa wakiendelea kuteseka.
Wakenya wanaougua maradhi sugu kama vile saratani, figo, kisukari, shinikizo la damu na mengineyo, wamepitia masaibu yasiyoweza kuelezeka na hata wengine kupoteza maisha yao baada ya sekta ya afya nchini kulemazwa kabisa.
Familia zimebaki na machungu baada . . .