Mdomo wamchongea Gachagua na kujipata motoni – Taifa Leo

Written by on June 29, 2024

Naibu Rais Rigathi Gachagua aliyetoa hotuba yake Jumatano akimlaumu mkuu wa ujasusi Noordin Haji kwa kutoshauri Rais vyema. Picha|Kevin Odit

NAIBU Rais Rigathi Gachagua amekosolewa vikali kwa kumshambulia Mkurugenzi wa Shirika la Taifa la Ujasusi (NIS) Noordin Haji na kumtaka ajiuzulu huku baadhi ya viongozi wakitaka mahakama iagize achunguzwe kwa uchochezi.

Mnamo Jumatano, Bw Gachagua alidai Bw Haji anafaa kuwajibika kwa vifo vilivyotokea wakati wa maandamano ya vijana akidai alikosa kumpa Rais habari sahihi za ujasusi.

“Haji lazima . . .



Current track

Title

Artist