Mpishi anayedaiwa kutishia kuua Ichung’wah kuhusu mswada wa fedha ashindwa kulipa Sh100,000 – Taifa Leo

Written by on June 27, 2024

Mpishi jijini Nakuru Stephen Mwangi Kamau ashtakiwa kutisha kumuua Kiongozi wa wengi bungeni Kimani Ichung'wah na kumdhalilisha Rais William Ruto. Picha|Richard Munguti

MPISHI aliyeshtakiwa Jumatano kutishia kumuua Kiongozi wa Wengi katika Bunge la Kitaifa Kimani Ichung’wah endapo mswada wa Fedha 2024 utapitishwa ameshindwa kulipa dhamana ya pesa tasilimu Sh100,000.

Hivyo basi, Stephen Mwangi Kamau alimsihi Hakimu Mkazi Rose Ndubi ampunguzie dhamana hiyo hadi Sh50,000.

“Mheshimiwa siwezi kupata Sh100,000. Mimi ni mpishi katika hoteli moja jijini Nakuru. Mshahara wangu ni Sh6,500. Ijapokuwa Mungu anitendee muujiza . . .



Current track

Title

Artist