Mtarajie mabadiliko juu ya jedwali la EPL Jumatano usiku – Taifa Leo

Written by on April 3, 2024

Alan Shearer: Mtarajie mabadiliko juu ya jedwali la EPL Jumatano usiku

LONDON, Uingereza

MWANASOKA mstaafu, Alan Shearer amesema ingawa Liverpool wako uongozini mwa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kwa pointi 67, mbele ya Arsenal walio na 65, hakuna atakayezuia Manchester City kuhifadhi taji hilo.

Manchester City inakamata nafasi ya tatu ikiwa na 64, huku ikijivunia rekodi ya kutoshindwa katika mechi 23 katika mashindano tofauti, lakini jagina huyo amesema hisia zake hazitegemei kiwango cha sasa cha kikosi hicho cha kocha Pep Guardiola.Current track

Title

Artist