Mwendo wa kasi wa matatu wasababisha ajali na kuua 11 – Taifa Leo

Written by on June 30, 2024

Watu 11 walifariki katika ajali mbaya ya barabarani

WATU 11 walifariki katika ajali mbaya ya barabarani baada ya matatu ya abiria 14 waliyokuwa wakisafiria kuanguka katika eneo la Ratili kwenye barabara ya Narok-Bomet Jumamosi jioni.

Wengine wawili wanapokea matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Kaunti ya Longisa ambapo walikimbizwa kuhudumiwa.

Kulingana na Kamanda wa Polisi Kaunti ya Narok Riko Ngare, ajali hiyo ilisababishwa na kupasuka kwa tairi huku manusura wakisema dereva alikuwa akiendesha kwa mwendo wa kasi.

“Dereva wa matatu ya kampuni ya Narok Safaris Shuttles Limited, iliyokuwa . . .



Current track

Title

Artist