Ni rasmi sasa, farasi ni wawili EPL baada ya Liverpool kugeuka punda – Taifa Leo

Written by on April 29, 2024

Ni rasmi sasa, farasi ni wawili EPL baada ya Liverpool kugeuka punda

NA MASHIRIKA

KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola, amekiri kuwa lazima washinde mechi zao zote ili kupiku Arsenal katika vita vya kunyanyua Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) msimu huu.

Guardiola ameonya masogora wake kwamba hawawezi dondosha hata alama moja katika nafasi ya pili kwenye pilkapilka za kutetea taji lao na pia kuweka historia kama timu pekee iliyozoa EPL misimu minne mfululizo.

Mkufunzi huyo . . .



Current track

Title

Artist