Nililipwa Sh700,000 kusafiri ng’ambo na Mandago, afisa afichua – Taifa Leo

Written by on July 2, 2024

Gavana wa zamani wa Uasin Gishu Jackson Mandago (kushoto) na afisa wa kaunti Joel Cheruiyot Chelule. Picha|Boniface Mwangi

AFISA mmoja wa Kaunti alishangaza Mahakama ya Nakuru baada ya kukiri kupokea kitita cha hela kwa kuandamana na aliyekuwa Gavana waUasin Gishu Jackson Mandago, kusafiri ng’ambo 2021.

Mwenyekiti wa Hazina ya Maendeleo wa Kaunti ya Uasin Gishu, Joel Cheruiyot Chelule, alieleza mahakama kuwa alilipwa Sh700,000 kama masurufu ili kuandamana na aliyekuwa bosi wake wakati huo katika mataifa ya Finland na . . .



Current track

Title

Artist