Raila amepenya serikalini? – Taifa Leo

Written by on February 28, 2024

Raila amepenya serikalini?

NA WANDERI KAMAU

MASWALI yameibuka kuhusu ikiwa kiongozi wa Azimio la Umoja-One Kenya Raila Odinga, hatimaye ameingia serikalini, baada ya kuanza kutangamana na viongozi wakuu wa serikali ya Kenya Kwanza, akiwemo Rais William Ruto.

Bw Odinga pia amekuwa akitangamana na mawaziri.

Mnamo Jumatatu, iliibuka kwamba Bw Odinga aliandamana na Rais William Ruto kuenda nchini Uganda, kumrai Rais Yoweri Museveni kumuunga Bw Odinga mkono kwenye azma yake ya kuwania ueneyekiti katika Tume ya Umoja . . .



Current track

Title

Artist