Saa ya Sh233 milioni ya Rudiger yaleta noma, akiri mama watoto hasemi naye – Taifa Leo

Written by on June 8, 2024

Saa ya Sh233 milioni ya Rudiger yaleta noma, akiri mama watoto hasemi naye

NA CHRIS ADUNGO

BEKI mzoefu wa Real Madrid, Antonio Rudiger, alisherehekea ushindi wao wa Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) kwa kuvalia saa ya thamani ya Sh233.8 milioni!

Real walijizolea taji la 15 la UEFA Jumamosi iliyopita baada ya kupepeta Borussia Dortmund 2-0 ugani Wembley, Uingereza.

Rudiger, 31, ambaye awali alinyanyua kombe hilo akiwa Chelsea mnamo 2021, alikuwa sehemu ya kikosi kilicholeta Real ufanisi huo.

Kilichovutia . . .



Current track

Title

Artist