Sababu za Raila kukutana na Wanjigi – Taifa Leo

Written by on January 14, 2024

Sababu za Raila kukutana na Wanjigi

NA WANDERI KAMAU

KIONGOZI wa Azimio la Umoja, Bw Raila Odinga, ameanza juhudi za kuwatafuta washirika wapya wa kisiasa, baada ya urafiki wake na Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kusawiriwa na baadhi ya wachambuzi kama ulioingia doa.

Mnamo Jumatano, duru ziliiambia Taifa Leo kuwa Bw Odinga amelazimika kuchukua hatua hiyo kutokana na mzozo unaoendelea kutokoka katika Azimio La Umoja-One Kenya, ukiwahusisha viongozi wa mrengo huo kutoka Mlima Kenya.

Hilo pia limechangiwa na ahadi ya Rais William Ruto ‘kumsaidia’ Bw . . .



Current track

Title

Artist