Serikali inamcheza Raila kuhusu uenyekiti AUC – Taifa Leo

Written by on March 16, 2024

Steve Mbogo: Serikali inamcheza Raila kuhusu uenyekiti AUC

NA WANDERI KAMAU

Mnamo Ijumaa, Bw Mbogo, aliyewania ubunge katika eneo la Starehe mnamo 2017 kwa tiketi ya ODM, alisema kuwa anaamini Bw Odinga “anachezwa na serikali ya Rais William Ruto kwamba itamfanyia kampeni kuwania nafasi hiyo”.

Kwenye mahojiano ya kipekee na Taifa Leo, Bw Mbogo . . .



Current track

Title

Artist