Serikali izidishe tahadhari zake kufaa wananchi – Taifa Leo

Written by on April 30, 2024

TAHARIRI: Serikali izidishe tahadhari zake kufaa wananchi

USIKU wa kuamkia Jumatatu kulikuwa na matukio mawili makuu nchini ambayo yalionyesha kwamba bado ipo mianya ambayo serikali inafaa kuziba ili kuepuka madhara zaidi kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha nchini.

Mwanzo, wazazi na wanafunzi waliamkia habari za kushtukiza kwamba shule hazitafunguliwa hadi tarehe sita yaani Jumatatu ijayo.

Tangazo hili lilitolewa na Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu akisema kwamba uamuzi huu ulifanywa baada ya kufanya tathmini ya hali ilivyo nchini . . .



Current track

Title

Artist