Serikali yasema haitaweza kuajiri walimu 46,000 wa JSS baada ya mswada wa fedha kuangushwa – Taifa Leo

Written by on June 29, 2024

Walimu wa JSS wakiandamana awali. Picha|Maktaba

SERIKALI haitaweza kuajiri walimu 46,000 wa Sekondari Msingi kwa Mkataba wa Kudumu kwa kukosa pesa baada ya Rais William Ruto kukataa kutia saini Mswada wa Fedha 2024.

Serikali ilikuwa imetenga pesa za kuwaajiri walimu hao katika bajeti ya mwaka wa kifedha wa 2024/2025 ambayo ingefanikishwa kupitia Mswada huo.

“Hata hivyo, bajeti ilikataliwa na sasa ni lazima tuangalie vipaumbele. Watu wanapaswa kuelewa shida yetu kwa sababu pesa zinatokana . . .



Current track

Title

Artist