Simba Arati sasa amtetea Dkt Monda – Taifa Leo

Written by on February 28, 2024

Simba Arati sasa amtetea Dkt Monda

NA WYCLIFFE NYABERI

GAVANA wa Kisii Simba Arati amewarai madiwani kutathmini upya hoja inayolenga kumng’atua afisini naibu wake Dkt Robert Monda.

Mbunge huyo wa zamani wa Dagoretti Kaskazini, amesema angependa madiwani hao wampe muda asuluhishe tofauti zilizoko baina yake na Dkt Monda bila kumjadili bungeni kwa faida ya ustawi wa maendeleo ya gatuzi hilo.

Gavana Arati aliyasema hayo mnamo Jumatano baada ya kukutana na viongozi wa . . .



Current track

Title

Artist