Sina tatizo kumuunga mkono Kalonzo kuwania urais 2027 – Raila – Taifa Leo

Written by on February 11, 2024

Sina tatizo kumuunga mkono Kalonzo kuwania urais 2027 – Raila

NA WANDERI KAMAU

KIONGOZI wa Azimio la Umoja-One Kenya Raila Odinga, amesema kuwa hana tatizo lolote kumuunga mkono kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka, ikiwa atawania urais 2027.

Akihutubu Jumamosi katika Kaunti ya Kitui, Bw Odinga alisema hawezi kosa kumuunga mkono Bw Musyoka, ikizingatiwa kuwa hapo awali, kiongozi huyo amemuunga mkono mara mbili kuwania urais.

Baadhi ya washirika wa Bw Musyoka wamekuwa wakimrai Bw . . .



Current track

Title

Artist