Supamaketi ya mwandani wa Ruto yavamiwa Emali – Taifa Leo

Written by on July 4, 2024

Mamia ya vijana wavamia supamaketi kando kando ya barabara ya Mombasa-Nairobi mjini Emali, Alhamisi. Picha|Hisani

KUNDI la vijana waandamanaji limevamia duka la supamaketi linalohusishwa na mfanyabiashara James Mbaluka, mwandani wa karibu wa Rais William Ruto, mjini Emali.

Tukio hilo la Alhamisi, Julai 4, 2024, adhuhuri lilijiri wakati mamia ya vijana waliokuwa wamekusanyika kuanza maandamano ambayo hayakufanyika katika miji mingi kama ilivyokuwa inatarajiwa, walipofululiza hadi kwa supamaketi hiyo iliyoko kando kando mwa barabara kuu ya Mombasa-Nairobi.

Waliiba mali ya thamani isiyojulikana huku maafisa wa ulinzi wakilemewa na idadi kubwa . . .



Current track

Title

Artist