Utulivu warejea mijini maandamano yakififia – Taifa Leo

Written by on July 4, 2024

Vijana waliojihami na marungu Mombasa tayari kulinda biashara zao dhidi ya waporaji wanaojificha kwenye maandamano. Picha|Wachira Mwangi

UTULIVU umeanza kurejea katika miji mbalimbali nchini huku wafanyabiashara wakiendelea na shughuli zao za kawaida maandamano dhidi ya serikali yakififia.

Katika Kaunti ya Nairobi, biashara zilizokuwa zikifungwa hapo awali kila Jumanne na Alhamisi kwa wiki tatu zilizopita zilifunguliwa kama kawaida jana, huku magari ya abiria yakiendelea na shughuli zao kwa amani.

Hata hivyo, maafisa wa polisi wanaendelea kushika doria katika maeneo mbalimbali jijini.

Hii ni baada ya vijana kupitia mitandao yao . . .



Current track

Title

Artist