Viongozi wa ‘Mulembe’ watumia sukari kufufua upya nyota zao – Taifa Leo

Written by on January 31, 2024

Viongozi wa ‘Mulembe’ watumia sukari kufufua upya nyota zao

NA MARY WANGARI

BAADHI ya wanasiasa na viongozi kutoka Magharibi mwa Kenya waliotemwa katika uchaguzi mkuu wa Agosti 9, 2022, wameangaziwa kwa kutumia masaibu yanayoandama sekta ya sukari nchini kama mbinu ya kufufua ndoto zao kisiasa.

Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetangula ameshutumu vikali kundi la wanasiasa anaodai wanatumia changamoto zinazoyumbisha viwanda vya sukari eneo hilo kujitafutia umaarufu kisiasa.

Amesema licha ya serikali kutenga mabilioni kwa lengo . . .



Current track

Title

Artist